Kurasa

  • Home
  • HABARI
  • LOCATION
  • MOVIES
  • PHOTO GARLEY
  • BEHIND THE SCENE
  • ABOUT US
  • OUR SERVICES

1

1

Jumatatu, 16 Desemba 2013

Penzi la RAY na CHUCHU HANS lakolea....CHUCHU aamua Kujichora tattoo ya RAY mwilini mwake...!!

RAY na CHUCHU
KATIKA hali inayoonesha kuna kitu kikubwa kinakuja mbeleni, msanii wa filamu, Chuchu Hans amejichora ‘tatuu’ inayosomeka kwa jina la Ray huku anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ naye akiwa amejichora tatuu inayosomeka kwa jina la Chuchu.

Ray na Chuchu.
Picha ambazo gazeti hili limezinasa zinawaonesha wawili hao wakipigia ‘promo’ uhusiano wao huku wadau wengi wakiyafananisha mapenzi yao na ya njiwa.

Ili kujua undani juu ya jambo hilo, mwandishi wetu aliwatafuta wasanii hao ambapo Chuchu alionekana kukerwa na swali hilo na kujibu kwa ufupi kuwa hataki kusumbuliwa.

“Hivi hamchoki kufuatilia maisha ya watu jamani? Naomba mniache,” alisema Chuchu Hans.
Kwa upande wa Ray, simu yake ya mkononi iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa.


CHUCHU HANS NA RAY KWENYE RAHA ZA DUNIA

Imechapishwa na Unknown kwa 21:15
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

CEO OF MTAKUJA PRODUCTION

gif creator online

Popular Posts

  • HIVI UNAWAFAHAMU MAJINI ? SOMA HAPA
    Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana ta...
  • HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA MWANAMKE RAHA KATIKA MAPENZI:
    Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande ...
  • Picha za mapokezi ya Mchezaji Mpya wa YANGA Emmanuel OKWI..!!
    ABDALLAH BIN KLEB MWENYE SHATI LA BLUU HUYU NDIYE KIONGOZI MWENYE MIPANGO HATARI KWENYE USAJILI AKIMTAKA MCHEZAJI NI LAZIMA AMPATE ...
  • "Kwani kuna Ubaya Gani kusema kwamba natafuta ntu wa kuniridhisha kimahaba?".....Recho Ajibu tuhuma za Umalaya Mombasa
    RECHO AKIJITUMA KAZINI Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasani...
  • JINSI MWANAMZIKI NA MSANII WA BONGO MOVIE SHILOLE ALIVYONYONYWA CHUCHU NA SHABIKI WAKE
     Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote.  Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shab...
  • Msanii RIYAMA Awachana wasanii wa kike wanaopenda kupeana 'madenda' hadharani...!!
     RIYAMA amesema kuwa anachukizwa na vitendo vya kimapenzi vinavyoonyeshwa kwenye filamu nyingi za sasa, ikiwemo mabusu ya staili ya kulana...
  • "Sitaki kutumia Simu tena kwani ni Kero sana....Mwenye Shida na mimi Anitumie Barua ".....LULU
    ELIZABETH MICHAEL MAARUFU LULU AKIWA KWENYE PICHA INAYOMUONESHA MWILI WAKE MWANADADA anayetamba katika filamu za Bongo, Elizabeth Mic...
  • OMY DIMPOZ ALIVYOWAPAGAWISHA MABINTI WA MAMTONI
  • WASTARA awachana wanaomchokonoa na kumpikia Majungi.....Aomba aachwe afanye mambo yake..!!
    MWIGIZAJI, Wastara, aliyekuwa mke wa Sajuki (marehemu sasa), amewajia juu wale wote wanaomchafua jina kwa kuwaambia kuwa wasitafute fedha ...
  • Binti wa Kidato cha tatu Abakwa na Kupachikwa Mimba huko Jijini Mwanza...!!
    MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya Bujingwa, iliyopo Nyakato Mwanza (jina linahifadhiwa), mkazi wa Mabatini jijini Mwan...

MOVIE NILIZOWAHI KUANDIKA

gif creator online

Blog Archive

  • ►  2016 (7)
    • ►  Oktoba (4)
    • ►  Septemba (3)
  • ►  2014 (31)
    • ►  Septemba (5)
    • ►  Aprili (5)
    • ►  Februari (1)
    • ►  Januari (20)
  • ▼  2013 (33)
    • ▼  Desemba (31)
      • Picha za mapokezi ya Mchezaji Mpya wa YANGA Emmanu...
      • "Natamani kuolewa na Kingwendu"...Rayuu
      • Hii Ndio Siri ya LULU kuwa na shepu Bomba na ya Ku...
      • Binti wa Kidato cha tatu Abakwa na Kupachikwa Mimb...
      • "Wasanii wa Kike wanakuwa wasagaji kwasababu wanau...
      • "Diamond hanitishi kwa Lolote...atawatisha hao wat...
      • Msanii RIYAMA Awachana wasanii wa kike wanaopenda ...
      • Hatimaye Mwenyekiti wa CCM jijini MWANZA aliyeuawa...
      • MTAKUJA PRODUCTION YATOA OFA KWA WASANII
      • UMESHAGUNDUA ANACHOHITAJI MWENZI WAKO?-
      • Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi jijini Mwa...
      • Usiyoyajua kuhusu Chacha Makenge, Kijana wa Kitanz...
      • WASTARA awachana wanaomchokonoa na kumpikia Majung...
      • Mbunge Amponda Miss Tanzania kuwa hafai kuiwakilis...
      • "Sitaki kutumia Simu tena kwani ni Kero sana....Mw...
      • DIAMOND Azua balaa mtandaoni baada ya kuweka Picha...
      • Hiki Ndicho kilichomfanya LULU Atangaze dau la 800...
      • HIVI UNAJUA ALICHOKISEMA RICH MAVOKO
      • Penzi la RAY na CHUCHU HANS lakolea....CHUCHU aamu...
      • Mwanamke abakwa na kusokomezwa chupa za soda katik...
      • LULU AFUNGUKA KUHUSU ILE INSHU YAKE YA KUFANYA MAP...
      • "Kwani kuna Ubaya Gani kusema kwamba natafuta ntu ...
      • HATIMAE ARSENAL WAPANGWA NA BAYERN MUNCHEN TENA KW...
      • MESHACK ABEL AINGIA KWENYE MZIKI
      • OBAMA ATIKISA MSIBANI
      • WINNIE MADIKIZELA MANDELA NA GRACA MACHEL WAMEONES...
      • UMEISIKIA HII ? KUMBE NELSON MANDELA ASIPOZIKWA KI...
      • HEMED PHD KUTOKA NA FILAMU 7 TU MWAKA 2014
      • KIJANA ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUNASWA AKIMBAKA MW...
      • DOTNATA NI ZAIDI YA WASANII WA TANZANIA
      • HIVI UNAWAFAHAMU MAJINI ? SOMA HAPA
    • ►  Oktoba (2)

About Me

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili

DATE OF TODAY

Test Footer

Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo. Picha za mandhari zimetolewa na enjoynz. Inaendeshwa na Blogger.