Kurasa

  • Home
  • HABARI
  • LOCATION
  • MOVIES
  • PHOTO GARLEY
  • BEHIND THE SCENE
  • ABOUT US
  • OUR SERVICES

1

1

Alhamisi, 9 Januari 2014

JAMANI WANAUME WANANIFUATAFUATA SANA ...RAY C



Akiongea na Bongo5, Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini amekiri kuwa usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume si mdogo.
“Sijapata bado mchumba nilikuwa nawachombeza fans wangu kwenye Instagram kwasababu nasumbuliwa sana.”



Kuhusu nyimbo mpya, Ray C amesema mwaka huu atarudi kwenye muziki kwa kuachia nyimbo mfululizo akianza na ‘Walimwengu Wote Wajue’utakaotoka mwezi March.
“Wapenzi wa muziki wangu wakae mkao wa kula,nyimbo zipo tayari bado kuziachia tu. Mwaka huu nitaanza na wimbo ‘Walimwengu Wote Wajue’ ambao umefanyikia chini ya C9 Records. Baada ya hapo harakati za muziki zitaendelea,” alisema Ray C.
Katika hatua nyingine, Ray C ameandika ujumbe huu kwenye Instagram: Yes am back……Ingawa wabaya wangu walitamani nisipone…Mungu alinipenda zaid…back to life ….am back Yo!!!Sty Tuned….Big Things r

coming.




















Imechapishwa na Unknown kwa 02:03
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

CEO OF MTAKUJA PRODUCTION

gif creator online

Popular Posts

  • HIVI UNAWAFAHAMU MAJINI ? SOMA HAPA
    Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana ta...
  • HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA MWANAMKE RAHA KATIKA MAPENZI:
    Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande ...
  • Picha za mapokezi ya Mchezaji Mpya wa YANGA Emmanuel OKWI..!!
    ABDALLAH BIN KLEB MWENYE SHATI LA BLUU HUYU NDIYE KIONGOZI MWENYE MIPANGO HATARI KWENYE USAJILI AKIMTAKA MCHEZAJI NI LAZIMA AMPATE ...
  • "Kwani kuna Ubaya Gani kusema kwamba natafuta ntu wa kuniridhisha kimahaba?".....Recho Ajibu tuhuma za Umalaya Mombasa
    RECHO AKIJITUMA KAZINI Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasani...
  • JINSI MWANAMZIKI NA MSANII WA BONGO MOVIE SHILOLE ALIVYONYONYWA CHUCHU NA SHABIKI WAKE
     Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote.  Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shab...
  • Msanii RIYAMA Awachana wasanii wa kike wanaopenda kupeana 'madenda' hadharani...!!
     RIYAMA amesema kuwa anachukizwa na vitendo vya kimapenzi vinavyoonyeshwa kwenye filamu nyingi za sasa, ikiwemo mabusu ya staili ya kulana...
  • "Sitaki kutumia Simu tena kwani ni Kero sana....Mwenye Shida na mimi Anitumie Barua ".....LULU
    ELIZABETH MICHAEL MAARUFU LULU AKIWA KWENYE PICHA INAYOMUONESHA MWILI WAKE MWANADADA anayetamba katika filamu za Bongo, Elizabeth Mic...
  • OMY DIMPOZ ALIVYOWAPAGAWISHA MABINTI WA MAMTONI
  • WASTARA awachana wanaomchokonoa na kumpikia Majungi.....Aomba aachwe afanye mambo yake..!!
    MWIGIZAJI, Wastara, aliyekuwa mke wa Sajuki (marehemu sasa), amewajia juu wale wote wanaomchafua jina kwa kuwaambia kuwa wasitafute fedha ...
  • Binti wa Kidato cha tatu Abakwa na Kupachikwa Mimba huko Jijini Mwanza...!!
    MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya Bujingwa, iliyopo Nyakato Mwanza (jina linahifadhiwa), mkazi wa Mabatini jijini Mwan...

MOVIE NILIZOWAHI KUANDIKA

gif creator online

Blog Archive

  • ►  2016 (7)
    • ►  Oktoba (4)
    • ►  Septemba (3)
  • ▼  2014 (31)
    • ►  Septemba (5)
    • ►  Aprili (5)
    • ►  Februari (1)
    • ▼  Januari (20)
      • JAPHET KASEBA ANABADIRIKA KAMA KINYONGA
      • Hawa ndo wachezaji pekee aliokua akiwahofia ubingw...
      • DUH ! EMBU MSIKILIZE JACKY WOLPER...HUU NDIYO UBON...
      • HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA MWANAMKE RAHA ...
      • Niko Tayari kufanya tena kazi na CHADEMA"....Zitto
      • MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI AIONYA CHADEMA
      • "Nipe Uroda Nikupe Samaki"...Hii Ndio kauli mbiu y...
      • MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK
      • Saluni ya Ngono yagundulika huko Sinza...Wahudumu ...
      • "Naogopa sana mume wa mtu".....Agness Masogange
      • Diamond amhonga Wema sepetu JUMBA LA MIL 125...Ada...
      • "Chadema vumilianeni "....Makamba
      • AL SHABAAB Wapiga Marufuku Raia kutumia Internet N...
      • Mwasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei amtaka Zitto K...
      • BAADA YA KUTEMWA NA DIAMOND...SASA PENY AANZA KURO...
      • MHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA...
      • MHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA...
      • MHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA...
      • MCHAWI SUGU ADONDOKA AKITOKA KUWANGA MAENEO YA ILALA
      • JAMANI WANAUME WANANIFUATAFUATA SANA ...RAY C
  • ►  2013 (33)
    • ►  Desemba (31)
    • ►  Oktoba (2)

About Me

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili

DATE OF TODAY

Test Footer

Imetengenezwa Na Ernest James Siwigo. Picha za mandhari zimetolewa na enjoynz. Inaendeshwa na Blogger.