![]() |
CHAMPION JAPHET KASEBA |
Alhamisi, 30 Januari 2014
JAPHET KASEBA ANABADIRIKA KAMA KINYONGA
Bingwa wa kickboxing anayetambulika ulimwengu mzima bwana JAPHET KASEBA au kama wengi walivyozoea kumwita CHAMPION ameendelea kuungurumisha kipaji chake kengine cha sanaa ya uigizaji kwa kasi kubwa.Baada ya kushiriki kwa mara nyengine tena kwenye filamu ya DOTNATA inayojulikana kwa jina la JANI CHANGA..Japhet ambaye ameshiriki kwenye filamu hiyo kama mfanyabiashara mkubwa wa madini ameonesha uwezo mkubwa kwenye sehemu hiyo tofauti na vile watu walivyomzoea..Akiongea kwa niaba ya mume wake dada PENDO KASEBA ambaye pia hata yeye ni mshiriki wa filamu hiyo alisema.....watu wamezoea kumuona KASEBA kwenye mapigano tu...ukwelli ni kwamba Kaseba wa sasa hivi ukiachilia mbali fani yake ya kickboxing lakini pia ni msanii mzuri sana kwenye tasnia ya uigizaji na ameonesha kumudu kila sekta anayopangwa...Alipoulizwa ushiriki wake anajisikiaje kwenye sehemu hiyo ya mfanyabiashara wa madini na siyo ule upande aliouzoea yeye wa ngumi.Bwana KASEBA alisema "Unajua mimi ni bingwa wa kickboxing,lakini pia ni msanii wa uigizaji,sasa unapokuwa msanii huwezi kuchagua mfumo mmoja wa uigizaji wako inakupasa uwe unabadilika badilika ili kuwapa burudani wapenzi wako...Kwa hiyo nilivyoambiwa na mama DOTNATA kuwa safari hii natakiwa nicheze kama mfanyabiashara wa madini wala sikukataa nilifurahi na nimecheza kwa moyo wangu wote nafikiri hata madirector wangu watakuwa mashahidi kwa hilo"DOTNATA ENTARTAINMENT inakuja na filamu mpya ambayo mpaka sasa imeshamaliza kushutiwa na sasa ipo studio kwa ajili ya editing..
Jumapili, 12 Januari 2014
Hawa ndo wachezaji pekee aliokua akiwahofia ubingwa Yaya Toure
pengine kulingana na viwango sawa vya uchezaji au wao kukuzidi maarifa kidogo,hiko ndicho kilichotokea kwa Nyota toka Manchester City mchezaji Yaya Toure ambaye ameshinda kwa mara ya tatu mfululizo tuzo ya mchezaji bora barani Afrika,ushindi ambao umekosolewa na maafisa wakuu wa soka nchini Nigeria.
Toure mwenye umri wa miaka 31 ambaye ni raia wa Cote d’Ivoire alishinda pia tuzo ya Shirikisho la Soka barani Afrika – CAF, mwaka wa 2011 na 2012 huku John Obi Mikel wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Chelsea ya Uingereza akichukua pili na nafasi ya tatu ikishikwa na Didier Drogba kutoka huko huko Cote d’Ivoire.
Hiki ndicho alichokizungumza Toure baada ya kutangazwa mshindi ‘Kwa kweli ilikuwa vigumu sana kushinda,kwa sababu kulikuwa na wapinzani wakali mbele yangu Obi Mikel na Didier Drogba kwa hivyo nilidhani nitashindwa na sasa nimebahatika na nina furaha kwa mafanikio yangu Ninapenda kile ninachofanya’
Muda mfupi baada ya kutangazwa ushindi huo wa Toure Maafisa wakuu wa soka nchini Nigeria waliukosoa utaratibu uliotumiwa kumpata mshindi,Utaratibu uliotumika ni wa Makocha wa timu 54 za mataifa wanachama wa CAF huwapigia kura wachezaji 10 wanaoteuliwa kwa mizani ya pointi moja hadi kumi, huku atakayepata pointi nyingi ndiye anayeondoka na tuzo hiyo.
Toure alikusanya jumla ya pointi 373 na akapigiwa kura na makocha 28 na kumpa mchezaji huyo wa Manchester City ya Uingereza ushindi wa tatu mfululizo baada ya kunyakua taji hilo mwaka wa 2011 na 2013 huku Kiungo wa Chelsea Mikel, akiwa pili na jumla ya pointi 275.
![]() |
mchezaji bora wa afrika yaya toure |
DUH ! EMBU MSIKILIZE JACKY WOLPER...HUU NDIYO UBONGO MOVIE AU ? KAWEKA WAZI KUHUSU KUTEMBEA NA ...ALI KIBA.....JUX....NA DIAMOND
![]() |
SUKARI YA WAREMBO DIAMOND PLATNUM |
Muingizaji wa filamu nchini,Jacklyn Wolper amesema pamoja na kuwa na mahusiano na wasanii wenzake akiwemo Diamond,Jux. lakini Ally Kiba ndiye msanii pekee aliyemtambulisha kwenye ulimwengue wa mtamu wa mapenzi.
Akiongea na Global Publishers,muingizaji huyo alisema aliachana na Ally Kiba kwasababu ya wanawake wengi walikuwa wakimtamani kimapenzi.
Akiongea na Global Publishers,muingizaji huyo alisema aliachana na Ally Kiba kwasababu ya wanawake wengi walikuwa wakimtamani kimapenzi.
HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA MWANAMKE RAHA KATIKA MAPENZI:
Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.
Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye matako) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa. Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka. Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake
wengine huwa kidogo zaidi. Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke, sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe, hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake, fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. MATAKO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake, mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa, sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapizi mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke, sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa. Mwanamke anawezakujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama KITABU, hutofautiana kutoka mtu na mtu. Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia.
Ijumaa, 10 Januari 2014
Niko Tayari kufanya tena kazi na CHADEMA"....Zitto
![]() |
ZITO KABWE |
Mimi Najiuliza, ni kiongozi gani aliyeitwa Mhafidhina na mwingine kuitwa Kifaranga halafu akashirikiana na Zitto anayejiita mwanademokrasia???
Je mwanademokrasia anaweza kuwadharau wenzake kuwa ni vifaranga na wengine ni wahafidhina bado akapata ushirikiano kutoka kwao???
Binafsi nahisi huu ni unafiki kwani Zitto mwenyewe alikaririwa akisema nchi ikienda upinzani wananchi watapata shida sana.
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI AIONYA CHADEMA
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiepusha na vurugu na uvunjifu wa amani kinapotatua mgogoro wake na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe.
Mapema wiki hii, wafuasi wa Chadema walipambana na wale wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Zitto katika eneo la Mahakamu Kuu wakati kesi hiyo ikiendelea kusikilizwa na hatimaye kutolewa hukumu iliyompa ushindi Zitto.
Akizungumza kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam, Jaji Mutungi alisema vitendo hivyo vinakiuka sheria ya vyama vya siasa namba 5 ya mwaka 1992.
“Ninawaasa viongozi wa Chadema na Zitto Kabwe kuwazuia wafuasi wao kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani wa aina yoyote wakati wote ambao mgogoro baina yao unaendelea,” alisema Jaji Mutungi na kuongeza:
“Mojawapo ya majukumu ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ni kusimamia utekelezaji wa Sheria ya vyama vya siasa namba 5 ya mwaka 1992 na kanuni za maadili ya vyama vya siasa ya mwaka 2007 zinazokataza vyama hivyo kuruhusu wanachama au mashabiki wake kujihusisha na vitendo vya vurugu na uvunjifu wa amani.”
Amewaasa pia waandishi wa habari kujiepusha kushabikia migogoro hiyo kwani ina athari kubwa katika jamii.
“Ni vizuri tukakumbusha kuwa migogoro ndani ya vyama vya siasa ni mojawapo ya vyanzo vya uvunjifu wa amani… ni vizuri waandishi wa habari watafakari kwa undani athari za taarifa zao kwa jamii kabla ya kutoa taarifa kwa wananchi kuhusu mgogoro wa ndani ya chama chochote cha siasa,” alisema Jaji Mutungi na kuongeza:
“Napenda pia kusisitiza kwamba ni vyema viongozi na wanachama wa vyama vya siasa waonyeshe ukomavu wa siasa kwa kushughulikia tofauti zao na migogoro baina yao kwa ustaarabu, utulivu na amani huku wakizingatia sheria zote za nchi.
Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli.” Onyo la Msajili limekuja kutokana na vurugu zilizozuka hivi karibuni baina ya wafuasi wa Chadema na wale wa Zitto wakati wa kesi baina ya pande hizo iliyokuwa inasikilizwa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
"Nipe Uroda Nikupe Samaki"...Hii Ndio kauli mbiu ya wavuvi ziwa Victoria
![]() |
WAVUVI |
Wakati wanawake hao wanapokubali kuwa na uhusiano wa kingono na wavuvi wanaume, basi hilo huwa kama hakikisho la kupata Samaki wa kuuza kwa kipindi kirefu.
Biashara hii inayojulikana na wenyeji kama Jaboya, ambapo mwanamke anafanya Ngono na wavuvi ili apate Samaki wa kuuza, imelaumiwa pakubwa kwa kueneza maradhi ya Ukimwi miongoni mwa watu wanaoishi katika maeneo ya Ziwa Victoria.
Sasa wanawake katika eneo hilo wamezindua kampeni inayolenga kukomesha biashara hiyo.
Mradi uliozinduliwa na taasisi ya utafiti wa mazingira ya Victoria, imeanza kuwapa wanawake hao maboti yao ili waweze kufanya uvuvi wenyewe.
Dan Abuto, afisaa mmoja wa shirika hilo, anasema kuwa pesa watakazolipa wanawake hao kutokana na biashara zao za Samakai, zitawaruhusu kutengeza boti zao wenyewe.
"mradi huu unalenga kushughulikia 'Jaboya' kama swala la afya ya umma , kupunguza viwango vya umasikini na kuleta usawa wa kijinsia,'' alisema afisaa huyo.
Wajane pia wanasemekana kuwa katika hatari kubwa zaidi kutokana na biashara hiyo hasa ikiwa ni jukumu lao kulisha familia zao.
Makundi ya wanawake yanasema kuwa boti hizo za thamani ya dola 920, hazitamaliza tu biashara hiyo bali pia itapunguza kuenea kwa maradhi ya Ukimwi. Ikiwa mradi huu utafanikiwa basi maambikizi nayo yatapungua pakubwa.
MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK
VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’.
Masogange akipozi na Jux.
Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.
Akiuzungumzia ukaribu wake na Jux, Masogange alisema: “Wala hakuna lolote kati yangu na yeye. Mimi na wale akina Jux pamoja na dada yake ni watu wangu wa karibu sana tunaojuana muda mrefu hivyo tulikuwa tunabadilishana mawazo tu.”
Masogange akiwa na Jack.
Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.
Alhamisi, 9 Januari 2014
"Naogopa sana mume wa mtu".....Agness Masogange
![]() |
Agnes Jerald ‘Masogange’. |
VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu.
Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na mpenzi wake wa siku zote kuepuka uhasama.
“Sina tabia ya kushobokea kabisa waume za watu, bora niendelee na mtu wangu wa siku zote na kama tukishindwana basi bora nitafute mwingine lakini awe wangu peke yangu,” alisema Masogange.

MASOGANGE |
Diamond amhonga Wema sepetu JUMBA LA MIL 125...Adai yupo tayari kumpa chochote ili atulie...!!
![]() |
WEMA NA DIAMOND KWENYE MAPENZI MAZITO |
STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la kifahari mpenzi wake wa ‘nenda rudi’, Wema Sepetu, Amani limeinyaka hii.
KUNA SABABU?
Kwa mujibu wa chanzo, Diamond ameamua kuingia kwenye kujikamua huko kufuatia taarifa kwamba, mmiliki wa nyumba anayoishi Wema kwa sasa (jina lipo), Kijitonyama, Dar es Salaam amemwamuru mlimbwende huyo kuhama kwenye mjengo wake mara baada ya kumaliza mkataba mwezi Juni, mwaka huu. Awali mjengo huo aliutangaza ni wake.
HEBU SIKIA
“Mwenye nyumba anayoishi Wema kwa sasa amekataa mrembo huyo kuendelea kuishi pale, akimaliza mkataba wake Juni, mwaka huu basi, hataki tena.
“Sasa Diamond aliposikia hilo akamwambia Wema isiwe tabu, akamuahidi kumnunulia nyumba ya kifahari yenye thamani ya shilingi milioni mia moja na ishirini na tano.
“Nadhani hiyo nyumba ipo tayari, ndiyo maana amemtajia na bei. Lakini ninavyojua mimi ipo Mwananyamala,” kilisema chanzo.
KUHUSU NYUMBA YA SASA
Kuhusu nyumba ya sasa, ni kweli ‘kifo cha nyani miti yote huteleza’ kwani Wema anatakiwa kutoendelea na mkataba mpya ikiwa ni siku chache tu baada ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam kuamuru anyang’anywe lile gari lake la kifahari aina ya Audi Q7 lenye usajili wa T 973 BUJ na kukabidhiwa mmiliki wake halali, Shadrack Tweve.
Wema alipewa gari hilo na mwanaume anayedaiwa ni mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Clement ambaye alilikopa kwa mmiliki huyo lakini alikuwa akikwepa kulipa deni la shilingi milioni 90.
Akizungumza na mwandishi wetu katika mahojiano maalum yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar, mmoja wa ‘kruu’ ya Wema ambaye hakutaka jina lake lionekane gazetini alisema kwa sasa Wema yuko katika kipindi kigumu baada ya kumwagana na kigogo huyo aliyekuwa akidaiwa kumpa jeuri na kufuatia kuamriwa kuhama kwenye nyumba hiyo.
Chanzo chetu kikazidi kumwaga data kuwa mbali na Wema kuachana na Clement, bado mrembo huyo amekuwa katika kipindi kibaya zaidi baada ya kunyang’anywa gari hilo ambalo ndilo alilokuwa akilitumia.
MKATABA WA NYUMBA ULIVYOKUWA
Mpashaji wetu aliendelea kujuza kuwa mmiliki wa nyumba anayoishi Wema ameamua kusitisha mkataba wa kumuongezea Wema muda wa kuendelea kuishi hapo baada ya kusikia madai ya msanii huyo akitamba kwenye magazeti kuwa mjengo huo ni mali yake na aliununua kwa shilingi milioni 400.
“Mkataba wa awali unaisha Juni, mwaka huu, hivyo hataweza kuendelea kuishi hapo lakini pia hana pesa za kuweza kulipa gharama ya nyumba kama ile, kwa sasa hana jeuri tena,” kilisema chanzo hicho.
Kikaongeza: “Unajua mara baada ya Wema kuingia kwenye nyumba ile na magazeti kuandika kwamba ameinunua, mmiliki wake alimfuata Clement kwa sababu ndiye aliyeingia naye mkataba.
“Akamuuliza inakuaje Wema anatangaza nyumba ni yake? Clement akampoza mwenye nyumba kwa kumwambia kwamba, asiwe na wasiwasi, Wema ni staa, mastaa wa Bongo wanapenda kujisifu, yeye adili na yeye aliyeingia naye mkataba.”
AANZA KUSAKA CHUMBA KIMOJA:
Habari zinadai kuwa mtazamo wa Wema (kama nyumba ya kununuliwa na Diamond itachelewa) ni kutafuta chumba kimoja na kupanga ili maisha yaendelee.
MAMA WEMA ASHAURIWA JAMBO:
Wadau hawakuishia hapo, walifika mbali zaidi kwa kumshauri mama mzazi wa staa huyo, Bi. Mariam Sepetu amchukue Wema na kuishi naye nyumbani kwake, Sinza-Mori, Dar ili kuficha aibu hiyo nzito na kubwa ya binti yake.
“Hata kama kuna tofauti baina yao, namshauri mama Wema amchukue mwanaye waishi pamoja, hii ni aibu ya familia kwa jumla,” alisema mdau mmoja kwa sharti la kutotajwa jina lake.
DIAMOND SASA:
Amani lilimsaka Diamond ili kuzungumza kuhusu madai ya kumnunulia Wema nyumba ambapo alisema:
“Mimi sipendi Wema apate tabu, naweza kumgharamia chochote kile ilimradi atulie tu.”
WEMA ATAFUTWA:
Mwandishi wetu alipomtafuta Wema kwa njia ya simu, iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa, hata mwandishi wetu alipomtumia ujumbe mfupi wa maneno (SMS), bado hakujibu.
CLEMENT NAYE:
Katika harakati zetu za kutetea ukweli, mwandishi wetu alimtafuta kigogo huyo kwa ajili ya kupata ukweli halisi ambapo baada ya mwandishi kujitambulisha, Clement alitoa udhuru wa kwenda kikaoni na kutaka apigiwe baada ya dakika tano.
Baada ya dakika 20, mwandishi alimpigia simu Clement lakini kila ilipoita kwa muda aliikata.
![]() |
WEMA KWENYE MAPENZI NA DIAMOND |
"Chadema vumilianeni "....Makamba
![]() |
ZITO KABWE |
WAKATI mgogoro ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ukishika kasi ya ajabu, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yussuf Makamba, amejitokeza na kuwataka viongozi wa chama hicho kuvumiliana na kuacha siasa za kibabe.
Akizungumza kwa hisia katika mahojiano na RAI yaliyofanyika nyumbani kwake Tegeta Wazo jijini Dar es Salaam, Makamba aliuzungumzia mgogoro huo kuwa hauna tija kwa taifa, badala yake unachochea uhasama miongoni mwa viongozi na wanachama wa Chadema.
Makamba alisema ameshangazwa kusikia watu wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe, wanapigwa, wanatekwa na kutupwa porini.
Alisema kinachofanyika ndani ya Chadema hivi sasa si sawa na kinatoa picha mbaya mbele ya safari.
“Kwenye siasa ni kuvumiliana, mnaendesha siasa kwa uvumilivu, kama hivi watu wa Zitto wanapigwa, wanatekwa, wanatupwa porini... mnatafuta nini? Msiendeshe siasa kibabe.
“Hivi bado mnapigana mapema... hii si nzuri, tuendeshe siasa kwa utaratibu jamani,” alisema Makamba.
Vurugu zinazoendelea sasa ndani ya Chadema kati ya uongozi na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto, zimesababisha wafuasi wa chama hicho kugawanyika pande mbili baadhi wakiunga mkono uamuzi wa kumvua madaraka au kumfukuza Zitto wengine wakipinga.
Vurugu hizo zimeshika kasi zaidi baada ya Zitto kupeleka maombi yake mahakamani kuizuia Kamati Kuu (CC) ya Chadema kumjadili au kuchukua uamuzi wowote kuhusu uanachama wake.
Kufuatia zuio hilo ambalo limekubaliwa na Mahakama Kuu, vurugu kubwa na mapambano zimezuka kati ya wafuasi wanaoumuunga mkono Zitto na wale wanaounga mkono uongozi wa juu, zilizoanza mahakamani na kusababisha watu wawili kujeruhiwa.
Mgogoro huo pia umehusishwa kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Baraza Kuu, Joseph Yona.
Hatua za awali za upelelezi juu ya tukio hilo kwa mujibu wa polisi, kimazingira zinaonesha kuwa linatoikana na mgogoro unaoendelea ndani ya Chadema, huku kukiwa hakuna chanzo kingine kinachohusishwa.
![]() |
YUSUPH MAKAMBA |
AL SHABAAB Wapiga Marufuku Raia kutumia Internet Nchini Somalia
Wanamgambo wa Al Shabaab wenye uhusiano na Al-Qaeda, wamesema kuwa wamepiga marufuku raia wanaoishi katika maeneo wanayodhibiti kutumia internet.
Wapiganaji hao wametoa onyo kwa kampuni zote zinazotoa huduma ya internet siku 15 kufunga biashara zao.
“kampuni yoyote au mtu yeyote atakayepatikana akipuuza onyo hilo atajulikana kama mtu anayewafanyia kazi maaduzi zetu, na ataadhibiwa kulingana na sheria za kiislamu,” ilisema taarifa ya kundi hilo ambayo ilitumwa kwenye mitandao yake.
Wanamgambo hao hutumia sheria kali za kiisilamu katika maeneo wanayotawala na kuwakamata watu mara kwa mara kwa tuhuma za kufanya ujasusi.
Internet hutumiwa sana nchini Somalia, taifa ambalo limekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miongo miwili, huku kundi hilo likionekana kuwa kikwazo kikubwa kwa amani.
Kundi la Shebab zamani lilikuwa likitawala katika sehemu kubwa za Kusini mwa Somalia na Kati, lakini likaondoa wapiganaji wake baada ya kushindwa na wanajeshi wa Muungano wa Afrika wanaopambana nao. Majeshi ya Afrika wakiwemo wanajeshi kutoka Uganda, Burundi na Kenya, tangu hapo wamedhibiti sehemu kadhaa kutoka kwa wapiganaji hao.
Lakini mashambulizi ya kuvizia yanayofanywa na kundi hilo dhidi ya maslahi ya majeshi ya serikali na yale ya kigeni, yameondoa matumaini ya kunusuru taifa hilo kutokana na vita vya miaka mingi.

Mwasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei amtaka Zitto Kabwe ajiunge na CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki
Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.
Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki.
Mtei alisema kuwa kama anataka kubakia na uanachama wa Mahakama wao hawana shida... “Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea kubaki kuwa mwanachama wetu.”
Alimtuhumu kwa kuwagonganisha viongozi mbalimbali ndani ya Chadema na hata kuzua mitafaruku ya hapa na pale huku akisema kwamba uamuzi wa Kamati Kuu ndiyo wa mwisho.
MHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU.
Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani.
Pastor Frank Kabele mwenye umri wa miaka 35, aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani. Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya maji pindi tu atakapomaliza maombi yake.
Lakini mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya pastor huyo kujaribu kutembea katika mto mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi.
Tukio Hili la kusikitisha limetokea Huko Nigeria.

MCHAWI SUGU ADONDOKA AKITOKA KUWANGA MAENEO YA ILALA
Mtu mmoja asiyefahamika jina anayedaiwa kuwa ni mwanga amenaswa na polisi baada ya kudondoka katika eneo la Ilala Bungoni, jijini Dar akiwa kama alivyozaliwa. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita kuamkia Jumapili saa kumi usiku wakati mtu huyo alipodaiwa kudondoka akiwa na ungo, hirizi na kusabababisha watu waliokuwa eneo hilo kutahamaki.
Chanzo chetu kimesema kuwa, mara baada ya mtu huyo kudondoka watu waliitana na kukusanyika na wengine kutoa taarifa jeshi la polisi kwa njia ya simu ambao walifika haraka.
Watu waliokuwa katika eneo hilo walishangaa kuona mtu wa namna hiyo ametokea kusikojulikana na kuanguka na vitu ambavyo inadaiwa ni vya kiuchawi.
Askari polisi waliofika eneo la tukio walifanya kazi ya ziada kuzuia watu waliokuwa na lengo la kumpiga mtu huyo aliyeonekana kutojitambua kwa madai kuwa ni kwa sababu ya kudondoka kutoka angani.
Polisi walipomhoji hakuweza kutaja jina lake wala kuongea lolote hali ambayo iliwalazimu askari hao kumpeleka katika Kituo cha Polisi Pangani, Ilala kwa uchunguzi zaidi.
“Hili ni tukio la kwanza kutokea hapa na limetushangaza sana, tunaamini kuwa alidondoka kwa sababu tulisikia kishindo na tulipokuja kuangalia ni nini tukamkuta mtu huyu akiwa na hirizi, ungo na tunguri, alitueleza kwa tabu kuwa alikuwa na wenzake,” alisema shuhuda mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Juma Hussein.
Naye Asha Hamisi alisema mtu huyo wamaamini kuwa ni mwanga kwa kuwa alikuwa na vitu vinavyofanywa na wachawi au waganga.
“Hapa alipoangukia ndipo ninapofanyia biashara na tangu adondoke nakosa wateja kabisa tofauti na zamani, hali hii naamini imetokana na kudondoka kwa mtu huyo,…serikali sasa ijue kuwa uchawi upo,” alisema Asha.

MCHAWI SUGU ALIPODONDOKA TOKA ANGANI |
![]() |
POLISI AKISAIDIANA NA WANANCHI KUMUINUA MCHAWI HUYO |
MCHAWI AKIINULIWA |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)