Kampuni ya production inayojulikana kwa jina la MTAKUJA PRODUCTION imejikita kwenye soko la ushindani wa kisasa baada ya kununua vifaa vipya vya production ....Mmiliki wa blog hii ambaye pia ndiye mmiliki wa kampuni hiyo ya MTAKUJA PRODUCTION bwana ALLY MTAKUJA amesema kuwa.......tumejipanga kwenye kampuni yetu kwa ajili ya kufanya kazi za kisasa kabisa na hili kulithibitisha hilo sasa tumeshanunua kamera za kisasa,,stend za kisasa taa za kisasa,,computer za kisasa aina ya MAC pamoja na vitu vyengine vinavyotakiwa kwenye production...bwana Ally mtakuja aliongeza kwa kusema kuwa..tunawaomba watu wote wakaribie kuja kwenye kampuni yetu na wasiwe na wasi wasi hata kidogo juu ya ufanisi wetu..tuna macamera man wazuri wanaojua kila aina ya kazi inayotakiwa kuanzia,,muziki,,filamu,,documentary na nk...hata hivyo pia tuna ma editor wenye uwezo mkubwa wa kutumia software za kisasa kama vile ADOBE NA FINAL CUT ..
Tunawakaribisha watu wote wanaohitaji kufanyiwa kazi za upigaji picha wa video wasijali wasisite kuwasiliana na sisi kwa njia ya mawasiliano yetu yanayoonekana kwenye blog yetu......Hata hivyo bwana ALLY aliendelea kuwakumbusha watu kuwa ule uwezo wake wa kuandika story za filamu na script hivi sasa ndiyo umeongezeka mara dufu kwa hiyo kama unataka uandikiwe script au utungiwe story za filamu pia usisite kumtafuta kwani yeye ni miongoni mwa waandishi wazuri wa script hapa nchini.

IJUWE NGUVU YA NYOTA KUPITIA PETE
JibuFutaKatika maisha tunayoyapitia watu wengi wanakutana na changamoto mbali mbali nyingine zikiwa nje ya uwezo wao katika kuitafuta rizki mwisowe wanaanguka na kupoteza Kila kitu na kushindwa kurudi upya katika upambanaji kwa kupoteza tumaini.
Basi Wewe unaweza kumiliki #pete_ya_bahati na ikakusaidia katika shughuli zako na kazi zako kwa ujumla kwa maana Pete hii inanguvu maarumu itakayo kulinda na kukupa mwanga kwa maana Duniani tunaishi na viumbe vinavyoonekana na visivyo onekana ..
Wewe ambaye bado haujapoteza au hujakutana na changamoto za kiulimwengu unaweza usinielewe kwa urahisi ila ukihiitaji msaada wa maelekezo pia mawasiliano yangu yapo katika tangazo hili.
Mtu anapewa #pete_ya_bahati kuendana na nyota yake kwa maana watu wamezaliwa na nyota zao tofauti kulingana na tarehe za kuzaliwa kwao.
@highlight Following Everyone Products KENYANS LIVING IN USA πΊπ²π¬π§ Kenyans in USA Tiba Asilia
Mfano naweza kuitumia katika
∆Siasa,
∆Biashara,
∆Mkulima,
∆Mfugaji,
∆Dereva,
∆Muajilriwa popote pale,
∆Sanaa na muziki,
∆Michezo na sekta nyingine tofauti tofauti.
AGIZA YAKO SASA POPOTE ULIPO KWA UAMINIFU MKUBWA INAKUFIKIA MPAKA NJE YA NCHI #Nairobi #Githulai #Kampala #kinshasa #Kigali #Tanzania kwa ujumla n.k.
PIA KWA WALE WA MALI ZA NDAGU NA MAJINI MAOMBI YENU NAENDELEA KUYAPOKEA NA WALE MNAOENDELEA KUSHUKURU SHUKRANI PIA KWA FADHILA ZENU.
DOKTA MDIRO
Call/what's up
+255 742162843