Kampuni ya production inayojulikana kwa jina la MTAKUJA PRODUCTION imejikita kwenye soko la ushindani wa kisasa baada ya kununua vifaa vipya vya production ....Mmiliki wa blog hii ambaye pia ndiye mmiliki wa kampuni hiyo ya MTAKUJA PRODUCTION bwana ALLY MTAKUJA amesema kuwa.......tumejipanga kwenye kampuni yetu kwa ajili ya kufanya kazi za kisasa kabisa na hili kulithibitisha hilo sasa tumeshanunua kamera za kisasa,,stend za kisasa taa za kisasa,,computer za kisasa aina ya MAC pamoja na vitu vyengine vinavyotakiwa kwenye production...bwana Ally mtakuja aliongeza kwa kusema kuwa..tunawaomba watu wote wakaribie kuja kwenye kampuni yetu na wasiwe na wasi wasi hata kidogo juu ya ufanisi wetu..tuna macamera man wazuri wanaojua kila aina ya kazi inayotakiwa kuanzia,,muziki,,filamu,,documentary na nk...hata hivyo pia tuna ma editor wenye uwezo mkubwa wa kutumia software za kisasa kama vile ADOBE NA FINAL CUT ..
Tunawakaribisha watu wote wanaohitaji kufanyiwa kazi za upigaji picha wa video wasijali wasisite kuwasiliana na sisi kwa njia ya mawasiliano yetu yanayoonekana kwenye blog yetu......Hata hivyo bwana ALLY aliendelea kuwakumbusha watu kuwa ule uwezo wake wa kuandika story za filamu na script hivi sasa ndiyo umeongezeka mara dufu kwa hiyo kama unataka uandikiwe script au utungiwe story za filamu pia usisite kumtafuta kwani yeye ni miongoni mwa waandishi wazuri wa script hapa nchini.
