hata hivyo mpaka sasa ALLY MTAKUJA amekataa kuweka wazi kuwa atagombea udiwani kwa tiketi ya chama gani .....hapana bado kuweka wazi ni mapema mno muda rasmi bado ila utakapofika kila kitu kitakuwa wazi...tupo kwa ajili ya kuleta maendeleo "alisema Ally
![]() |
ALLY MTAKUJA AKIWA NA MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIE AMANDA POSH KWENYE MOJA YA KAZI ZAKE |